Shaykh Swaalih Aalush-Shaykh: Suala hili ni muhimu na nataka uliingilie ndani ili lisije kuidhuru Da´wah kwa ujumla wake. Wamejenga taasisi kwa jina Ihyaa’ at-Turaath. Wameanzisha gazeti au jarida linalochapishwa kwa majina yao. Wanatoa makala yanayoita katika Hizbiyyah na mfano wa hayo.

Imaam al-Albaaniy: Sawa.

Shaykh Swaalih Aalush-Shaykh: Mtu kama wewe – Allaah akuhifadhi – anatakiwa kuingilia ndani suala hili ili Da´wah isidhurike kwa ujumla wake.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (1003)
  • Imechapishwa: 07/04/2020