Swali: Je, imepokelewa kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

صلوا صلاة مودع

“Swalini swalah ya kuaga?”[1]

Jibu: Sikumbuki kitu kuhusu hilo. Nasema kuwa sijui chochote juu ya hilo katika Hadiyth. Baadhi ya Salaf ndio walikuwa wakiusia juu ya hilo.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/swalini-swalah-ya-kuaga/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23066/هل-صح-في-الحديث-صلوا-صلاة-مودع
  • Imechapishwa: 26/10/2023