Swalah iliyoswaliwa kinyume na Qiblah baada ya siku tatu

Swali: Kuna mtu ameswali kinyume na Qiblah kwa kusahau na hakukumbuka isipokuwa baada ya siku tatu. Je, arudi kuswali tena?

Jibu: Ndio, kusahua hakuivunji sharti. Kuelekea Qiblah ni sharti miongoni mwa masharti ya Swalah. Hakuvunjiki kwa kusahau.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (76) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-12.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020