Kupita kati ya safu za waswaliji  

Swali: Je, inajuzu kupita kati ya safu na mbele ya mtu ambaye amepitwa na Rak´ah kwa kutumia hoja ya kitendo cha Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ya kwamba alipita mbele…

Jibu: Sutrah ya imamu inatosheleza Sutrah ya maamuma. Sutrah ya imamu inatosheleza kwa safu zote [za nyuma kwa maamuma]. Wakati wa haja inajuzu kupita kati ya safu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (76) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-12.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020