Swali: Sunnah inayoswaliwa baada ya ijumaa Rak´ah mbili au nne zinaachwa kama Rawaatib?
Jibu: Safarini hakuna swalah ya ijumaa. Msafiri hana swalah ya ijumaa.
Swali: Anaposwali na wengine?
Jibu: Akiswali ijumaa na wengine aswali baada yake Rak´ah nne.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23243/حكم-الجمعة-للمسافر-والنافلة-بعدها
- Imechapishwa: 07/12/2023
Swali: Sunnah inayoswaliwa baada ya ijumaa Rak´ah mbili au nne zinaachwa kama Rawaatib?
Jibu: Safarini hakuna swalah ya ijumaa. Msafiri hana swalah ya ijumaa.
Swali: Anaposwali na wengine?
Jibu: Akiswali ijumaa na wengine aswali baada yake Rak´ah nne.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23243/حكم-الجمعة-للمسافر-والنافلة-بعدها
Imechapishwa: 07/12/2023
https://firqatunnajia.com/sunnah-ya-ijumaa-safarini/