Okota chakula kinachodondoka ule!

Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Linapoanguka tonge la mmoja wenu, basi aliondoshe uchafu na alile na wala asimwachie shaytwaan.”[1]

Amri hii ni kwa njia ya ulazima?

Jibu: Huu ndio msingi katika amri. Lakini kinachotambulika kwa wanazuoni ni kwamba inapendeza. Ni Sunnah. Vinginevyo msingi katika amri ni ulazima.

[1] at-Tirmidhiy (1862).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23241/هل-الامر-للوجوب-في-ولا-يدعها-للشيطان
  • Imechapishwa: 07/12/2023