Tendo la ndoa kinyume na maumbile – kufuru ndogo

Swali: Je, ni sahihi mwenye kusema kwamba kumwingilia mke kinyume na maumbile ni kufuru ya kimatendo?

Jibu: Haipelekei huku. Ni dhambi miongoni mwa madhambi.

Swali: Lakini sio kufuru ya kimatendo?

Jibu: Ni kufuru ndogo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23235/حكم-اتيان-المراة-من-الدبر
  • Imechapishwa: 07/12/2023