Ulazima wa kula kwa mkono wa kulia

Swali: Kula kwa mkono wa kushoto ni haramu?

Jibu: Ndivo inavyodhihiri. Ndio maana Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliomba du´aa dhidi ya anayekula kwa mkono wa kushoto na akasema:

لا استطعت

“Hutoweza.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23246/ما-حكم-الاكل-بالشمال
  • Imechapishwa: 07/12/2023