Siku ya ´Arafah ikikutana na siku ya ijumaa

Siku ya ´Arafah ikikutana na siku ya ijumaa inafaa kuigunga peke yake kwa lengo kwamba ni siku ya ´Arafah. Si lazima kufunga siku moja kabla yake. Makatazo ya kupwekesha siku ya ´Arafah kumebaguliwa na swawm aliyozowea kufunga mtu, kama ambaye anafunga siku ya ´Arafah:

”Msiifanyie maalum siku ya ijumaa kwa funga kati ya masiku mengine; isipokuwa iwe kwa swawm ambayo amezowea kufunga mmoja wenu.”[1]

Hata hiyo bora ni mtu kufunga siku moja kabla yake alkhamisi.

[1] Muslim (1144).

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://twitter.com/AlSheikhAlRajhi/status/1544518392366891008?s=20&t=TUvONWD74gNw01PWQEtdGA
  • Imechapishwa: 06/07/2022