Si jambo linalofanywa na ndugu wa kiislamu

Swali: Muislamu amezini katika nchi ya kikafiri. Je, inamtosha kutubia au analazimika kuwaomba nduguze waislamu wamtekelezee adhabu ya kidini?

Jibu: Hakuna anayetekeleza adhabu za kidini isipokuwa mtawala wa waislamu.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (46)
  • Imechapishwa: 27/07/2024