Swali: Kuuza silaha kipindi cha fitina ni jambo limekatazwa. Je, pia itakuwa haramu ikiwa mtawala atakataza biashara ya silaha maalum katika kipindi kisichokuwa cha fitina?

Jibu: Ndio. Ni lazima kumtii mtawala katika yale mambo yasiyokuwa ya maasi. Haijuzu kumuasi. Mtawala hakatazi kitu isipokuwa ni kwa ajili ya manufaa kwa waislamu na kwa jamii.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 13/04/2021