Salama zaidi ni kuhifadhi pesa yako pasipokuwa benki

Swali: Mimi ni mfanyakazi wa umeme ambaye nalazimika kuweka pesa katika moja ya benki. Lakini akaunti yangu sichukui faida yoyote na inaitwa “akaunti yenye kudumu”. Benki inachukua asilimia mbili na nusu kwa kwa ajili ya huduma za benki.

Jibu: Ikiwa hakuna ribaa na dharurah imepelekea kuhifadhi humo, basi hapana vibaya bila kuchukua ribaa. Lakini kuweka kwa wengine ndio salama zaidi. Kilicho haramu ni ribaa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23636/حكم-الايداع-في-البنك-الربوي-للضرورة
  • Imechapishwa: 02/03/2024