Mapambo yasiyokuwa na haja hayatakiwi msikitini

Swali: Je, anayejenga msikiti na kuuweka mapambo anapata dhambi kwa hilo?

Jibu: Ajenge jengo imara na zuri lisilowaweka watu khatarini. Aache mapambo yasiyokuwa na haja. Atilie umuhimu uimara.

Swali: Mnara unachukua kiwango kikubwa cha pesa.

Jibu: Ni lazima kuwepo mnara ili watu wafikiwe [na sauti ya muadhini].

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23635/ما-حكم-زخرفة-المسجد-وبناء-المنارة
  • Imechapishwa: 02/03/2024