Swali: Mtu ameingia wakati kunatolewa adhaana. Je, asubiri adhaana imalizwe au aswali moja kwa moja?

Jibu: Bora amwitikie muadhini kisha ndio aswali Rak´ah mbili ili apate kukusanya kati ya Sunnah mbili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23633/ما-يفعل-من-دخل-المسجد-اثناء-اذان-الجمعة
  • Imechapishwa: 02/03/2024