Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Allaah awalaani mayahudi na manaswara. Wameyafanya makaburi ya Mitume wao kuwa ni mahali pa kuswalia.”[1]

Je, inafaa kuwalaani mayahudi?

Jibu: Ndio, amewalaani. Allaah amewalaani mayahudi, Allaah amewalaani manaswara, Allaah amewalaani makafiri kama ambavo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani.

[1] al-Bukhaariy na Muslim.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23630/هل-يجوز-لعن-اليهود-والكافرين
  • Imechapishwa: 02/03/2024