Swali: Baadhi ya sabuni zina manukato?

Jibu: Kuacha kutumia sabuni zenye manukato ni salama zaidi, kwani sabuni hizo zinaweza kuhesabika kama aina ya harufu nzuri. Hata hivyo ni vyema zaidi kuziacha kwa ajili ya kushika tahadhari.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24961/هل-يجوز-الصابون-المعطر-للمحرم
  • Imechapishwa: 16/01/2025