Swali: Je, mjusi anauliwa kuuawa?

Jibu: Ndio, mjusi anauliwa ni mmoja mtu yuko katika eneo la kawaida au katika eneo takatifu. Mjusi ni miongoni mwa viumbe waovu zaidi na kuwaua kunaruhusiwa katika hali zote.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24975/حكم-قتل-الوزغ-في-الحرم
  • Imechapishwa: 16/01/2025