Swali: Je, ikiwa fisi atamshambulia mtu inaruhusiwa kumuua?

Jibu: Ndio, fisi pia anaruhusiwa kuuawa. Ingawa fisi ni mnyama halali kuwinda, ikiwa atasababisha madhara anachukuliwa kama wanyama wengine wenye madhara na inaruhusiwa kumuua.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24976/هل-يقتل-الضبع-الموذي-في-الحرم
  • Imechapishwa: 16/01/2025