Swali: Je, mtu anayekata mti bila kujua anapaswa kuwajibika kwa lolote?
Jibu: Kilicho karibu zaidi – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni kwamba hakuna kinachomlazimu. Kuna simulizi kutoka kwa baadhi ya Maswahabah ya kwamba mtu anayefanya hivyo anapaswa kutoa fidia, lakini hakuna dalili ya wazi ya kuunga mkono hilo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitahadharisha dhidi ya kitendo hicho, lakini hakulazimisha fidia yoyote.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24973/ما-حكم-من-قطع-شجر-الحرم-جاهلا
- Imechapishwa: 16/01/2025
Swali: Je, mtu anayekata mti bila kujua anapaswa kuwajibika kwa lolote?
Jibu: Kilicho karibu zaidi – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni kwamba hakuna kinachomlazimu. Kuna simulizi kutoka kwa baadhi ya Maswahabah ya kwamba mtu anayefanya hivyo anapaswa kutoa fidia, lakini hakuna dalili ya wazi ya kuunga mkono hilo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitahadharisha dhidi ya kitendo hicho, lakini hakulazimisha fidia yoyote.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24973/ما-حكم-من-قطع-شجر-الحرم-جاهلا
Imechapishwa: 16/01/2025
https://firqatunnajia.com/hukumu-ya-anayekata-mti-bila-ya-kujua/