Swali: Nina rafiki anayesema kuwa Saudi Arabia ni nchi ya kikafiri kwa sababu ina miungano na makafiri.
Jibu: Mwache. Nakwambia mwache. Anayewakufurisha waislamu ni katika mfumo wa Khawaarij. Huu ni mfumo wa Khawaarij. Wanasema kuwa Wahhaabiyyah ni Khawaarij na huyu anasema kuwa Wahhaabiyyah ni makafiri. Tahamaki wao wenyewe sasa wamekuwa ni Khawaarij.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alfawzan.af.org.sa/node/13518 Tarehe: 1432-11-09/2011-10-06
- Imechapishwa: 29/03/2024
Swali: Nina rafiki anayesema kuwa Saudi Arabia ni nchi ya kikafiri kwa sababu ina miungano na makafiri.
Jibu: Mwache. Nakwambia mwache. Anayewakufurisha waislamu ni katika mfumo wa Khawaarij. Huu ni mfumo wa Khawaarij. Wanasema kuwa Wahhaabiyyah ni Khawaarij na huyu anasema kuwa Wahhaabiyyah ni makafiri. Tahamaki wao wenyewe sasa wamekuwa ni Khawaarij.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alfawzan.af.org.sa/node/13518 Tarehe: 1432-11-09/2011-10-06
Imechapishwa: 29/03/2024
https://firqatunnajia.com/rafiki-yangu-anasema-kuwa-saudi-arabia-ni-nchi-ya-kikafiri/