Swali: Kuna sababu gani vijana wa kisaudi kuashiriwa kidogo zaidi kuliko wengine?

Jibu: Kwa sababu wanatokana na kielelezo cha Kiislamu, nchi yenye misikiti miwili Mitukufu, wanabeba ´Aqiydah sahihi, Tawhiyd, na kwa sababu mara nyingi elimu inachukuliwa kutoka kwao. Kwa ajili hiyo wanaitia mapungufu nchi hii. Lengo ni kutaka kuyafanya mataifa mengine kuidharau nchi hii, jengine ni kutaka kuwakimbiza watu wasichukue elimu kutoka nchi hii.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=162071 Tarehe: 1438-03-07/2016-12-07
  • Imechapishwa: 29/03/2024