Swali: Masomoni kwetu mwanafunzi mwenzetu ni Raafidhwiy na ni katika Raafidhwah walopetuka mipaka. Mama yake amefariki. Mudiri wa shule ametutaka kwenda kumpa pole. Je, inajuzu kwetu kufanya hivo?
Jibu: Hapana, msimpe pole juu ya mama yake. Maadamu wote [mama na mtoto] ni Raafidhwah usimpe pole kwa hilo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-21.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)