Swali: Masomoni kwetu mwanafunzi mwenzetu ni Raafidhwiy na ni katika Raafidhwah walopetuka mipaka. Mama yake amefariki. Mudiri wa shule ametutaka kwenda kumpa pole. Je, inajuzu kwetu kufanya hivo?

Jibu: Hapana, msimpe pole juu ya mama yake. Maadamu wote [mama na mtoto] ni Raafidhwah usimpe pole kwa hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-21.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020