Swali: Ni ipi hukumu ya kuhifadhi picha kwa ajili ya kumbukumbu?
Jibu: Ni haramu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika Malaika hawaingii katika nyumba ilio na picha.”[1]
Hii ni dalili inayofahamisha uharamu wa kuhifadhi picha nyumbani.
[1] al-Bukhaariy, Muslim, Abu Bakr ash-Shaafiy´katika ”al-Fawaa-id” na ziada ni yake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/343)
- Imechapishwa: 02/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kuhifadhi picha kwa ajili ya kumbukumbu?
Jibu: Ni haramu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika Malaika hawaingii katika nyumba ilio na picha.”[1]
Hii ni dalili inayofahamisha uharamu wa kuhifadhi picha nyumbani.
[1] al-Bukhaariy, Muslim, Abu Bakr ash-Shaafiy´katika ”al-Fawaa-id” na ziada ni yake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/343)
Imechapishwa: 02/05/2026
https://firqatunnajia.com/picha-zilizohifadhiwa-kwa-ajili-ya-kumbukumbu/