Swali: Kipindi cha mwisho Takfiyriyyuun wameingia kwenye ule msikiti mkubwa ´Adn. Wataamiliwe vipi?
Jibu: Ni wajibu watu wakatahadharishwa nao. Pale ambapo watapata fursa tu, basi watakuja kuwaua watu na kuhalalisha ya haramu, kama jinsi Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alivyoeleza kuhusu wao.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 183
- Imechapishwa: 26/08/2020
Swali: Kipindi cha mwisho Takfiyriyyuun wameingia kwenye ule msikiti mkubwa ´Adn. Wataamiliwe vipi?
Jibu: Ni wajibu watu wakatahadharishwa nao. Pale ambapo watapata fursa tu, basi watakuja kuwaua watu na kuhalalisha ya haramu, kama jinsi Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alivyoeleza kuhusu wao.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 183
Imechapishwa: 26/08/2020
https://firqatunnajia.com/ni-wajibu-kutahadharisha-takfiyriyyuun/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket