Swali: Kipindi cha mwisho Takfiyriyyuun wameingia kwenye ule msikiti mkubwa ´Adn. Wataamiliwe vipi?

Jibu: Ni wajibu watu wakatahadharishwa nao. Pale ambapo watapata fursa tu, basi watakuja kuwaua watu na kuhalalisha ya haramu, kama jinsi Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alivyoeleza kuhusu wao.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 183
  • Imechapishwa: 26/08/2020