Swali: Je, tuwapige vita Takfiyriyyuun?

Jibu: Tunawapiga vita tu pale ambapo wataanza wao kutupiga vita na tunaona kuwa wanaudhuru Uislamu na Waislamu. Katika hali hiyo tutafanya alichofanya ´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anhu). La sivyo ni haramu kumwaga damu ya muislamu. Inajuzu kuwapiga vita ikiwa wao wataanza kuwavamia Waislamu au ikiwa kama hawafanyi tisho dhidi ya waislamu.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 186
  • Imechapishwa: 26/08/2020