Swali: Je, kukata kucha ni kwa wanaume pekee?
Jibu: Hapana, ni kwa wanaume na wanawake wote. Sunnah ya kukata kucha, kung’oa nywele za kwapa na kunyoa nywele za sehemu ya siri ni ya kila mtu, kwa wanaume na wanawake wote wawili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24716/هل-تقليم-الاظفار-خاص-بالرجال
- Imechapishwa: 30/11/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
04. Kukata kucha na kuondosha nywele za kwapani na sehemu ya siri
1. Anayotakiwa kufanya mambo ambayo ni maumbile ya Kiislamu katika mambo ambayo ni maalum kwake na yanafanana na yeye: a) Kupunguza kucha na kuzipatiliza kwa kuzikata mara kwa mara. Kwa sababu kukata kucha ni Sunnah kwa maafikiano ya wanachuoni. Ni miongoni mwa mambo ya maumbile ya Kiislamu yaliyopokelewa katika Hadiyth.…
In "02. Sura ya pili: Hukumu zinazohusu kuupamba mwili wa mwanamke"
Vitu visivyotakiwa kubakizwa zaidi ya siku arobaini
Swali: Ni ipi hukumu kuswali na kucha refu? Jibu: Kwa hali yoyote haitakikani kubakiza kucha refu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameamrisha kuzikata na amri inapelekea katika ulazima. Ni lazima kukata kucha, masharubu na kunyofoa nywele za kwapani. Imethibiti katika Hadiyth Swahiyh isemayo: “Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)…
In "Nywele za kwapani"
Wudhuu´ wa ambaye chini ya kucha zake refu kuna uchafu
Swali: Tunaona baadhi ya waswaliji wamerefusha kucha zao na zimefunikwa na uchafu. Je, kitendo hichi kinaafikiana na dini? Je, wudhuu´ unasihi? Jibu: Kucha ni lazima kuyapatiliza kabla ya kuzidi nyusiku arobaini. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwawekea watu muda wa kukata kucha, kunyoa nywele za sehemu ya…
In "Nywele za kwapani"