Jipure uso, lakini epuka vipodozi vyenye madhara

Swali: Vipi kuhusu mwanamke hujipamba kwa ajili ya mumewe kwa kujipura uso kwa rangi zinazojulikana?

Jibu: Ni sawa ikiwa vipodozi hivyo havidhuru. Ajipure uso kwa rangi, lakini asiudhuru uso.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24718/حكم-تزين-المراة-لزوجها-بالاصباغ-المعروفة
  • Imechapishwa: 30/11/2024