Swali: Je, kukata kucha ni kwa wanaume pekee?

Jibu: Hapana, ni kwa wanaume na wanawake wote. Sunnah ya kukata kucha, kung’oa nywele za kwapa na kunyoa nywele za sehemu ya siri ni ya kila mtu, kwa wanaume na wanawake wote wawili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24716/هل-تقليم-الاظفار-خاص-بالرجال
  • Imechapishwa: 30/11/2024