Swali: Imewekwa katika Shari´ah katika wakati wetu huu kujadiliana na Ahl-ul-Bid´ah kama Suufiyyah na wengineo kupitia TV au sehemu za nje? Je, kitendo hichi ni katika mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah?

Jibu: Inategemea na matokeo. Ikiwa hilo linapelekea katika manufaa, wakatubia kwa Allaah na kuwabainishia watu, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (89) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-08-07-1439.lite__0.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2018