Kuitolea zakaah ardhi kwa pesa ya mkopo

Swali: Nilinunua kipande cha ardhi kwa sababu ya biashara. Nusu ya pesa niliazima kutoka kwa rafiki yangu. Vipi nitatoa zakaah yake?

Jibu: Baada ya kupita mwaka mmoja utakadiria thamani yake na kutoa zakaah yake 2,5%.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (89) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-08-07-1439.lite__0.mp3