Wudhuu´ unaingia ndani ya uoagaji wa ijumaa?

Swali: Je, kuoga kwa ajili ya siku ya ijumaa kunamtosheleza mtu na kutawadha?

Jibu: Ndio akinuia. Akinuia wudhuu´ kuingia ndani ya uoagaji, ndio unaingia:

“Hakika kila kitendo kinategemea na nia na kila mmoja atalipwa kwa kile alichonuia.”

Wakati fulani twahara ndogo inaingia ndani ya twahara kubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (89) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-08-07-1439.lite__0.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2018