Swali: Ni yapi makusudio ya kuziwekea Ta´wiyl sifa na Ash´ariyyah ndio walioziwekea Ta´wiyl sifa?
Jibu: Kuziwekea Ta´wiyl sifa makudio yake ni kuzifasiri kinyume na tafsiri yake sahihi. Hii ndio inaitwa Ta´wiyl. Kuzifasiri kinyume na tafsiri yake sahihi na kuzitoa katika ile maana yake iliyoonyesha.
Ashaa´irah ni katika makundi yaliyowekea Ta´wiyl sifa. Jahmiyyah, Mu´tazilah, Ashaa´irah na Maaturiydiyyah, wote hawa wameziwekea sifa Ta´wiyl.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-2-22.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)