Swali: Maalikiyyah waliokuja nyuma wamezungumzia dibaji hii na kusema kuwa Wahhaabiyyah wameupotosha…
Jibu: Hapana, wao ndio wameupotosha. Wahhaabiyyah hawakuupotosha. Ni Maalikiyyah waliokuja nyuma ndio waliupotosha. Wameufasiri ili uweze kuafikiana na matamanio yao. Ufafanuzi wake wa zamani ni mzuri wakati ufafanuzi wake wa nyuma una upotoshaji sana. Wanataka uendane na madhehebu na ´Aqiydah yao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331103.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)