Alinunua nyumba kwa pesa ya haramu

Swali: Mtu aishi kwenye nyumba ambayo ameinunua kwa mali ya haramu na baadae akatubu kwa Allaah baada ya miaka mitano na kuanza kufuata Sunnah?

Jibu: Atoe Swadaqah kwa kiasi cha mali ili aweze kujinasua na mali ya haramu. Aishi kwenye nyumba akifanya hivo. Hivyo nyumba inakuwa n ihalali kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331103.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015