Swali: Katika baadhi ya mizunguko ya kuhifadhi Qur-aan tumeamua kuwa wanafunzi wahifadhi pia vitabu katika ´Aqiydah na Sunnah. Wakaja baada ya watu na kukukataza hilo na kusema tusiwashughulishe na vitabu hivi kwa Qur-aan…

Jibu: Hawa ni miongoni mwa walinganizi wa njama. Washughulisheni na Qur-aa na vitabu; vyote viwili. Wafunzeni Qur-aan, Sunnah na Fiqh. Hata hivyo iwe kwa njia ya mukhtasari. Waacheni wahifadhi misingi sahihi na kuwafafanulia kwa njia rahisi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/muq–14331116.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015