Ni lini inatekelezwa nadhiri pale mtu hakulenga siku maalum?

Swali: Nikiweka nadhiri kwa kuachia na sikuanisha siku maalum?

Jibu: Inawajibika papohapo. Anayeweka nadhiri kwa ajili ya Allaah kama vile kutoa swadaqah au kufunga, msingi ni uharaka. Msingi katika mambo ya uwajibu ni uharaka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23878/حكم-النذر-المطلق-دون-تحديد-يوم-معين
  • Imechapishwa: 24/05/2024