Swali: Mwenye kuwasifu watu wa Bid´ah na kuwatakasa anaambiwa kuwa ni mtu wa Bid´ah?
Jibu: Ikiwa kweli ni watu wa Bid´ah… kwa sababu tatizo ni kuwa wanaita kila kitu kuwa ni Bid´ah. Vijana wenye hamasa na ghera kila kitu kwa mujibu wao ni Bid´ah. Bid´ah ina vidhibiti vyake na dalili katika Shari´ah. Hakuna anayehukumu kuwa kitu fulani ni Bid´ah isipokuwa wanachuoni.
Ikithibiti kuwa kitu hichi ni Bid´ah mtu ajiepushe nacho na ajiepushe na yule mwenye kukifanya au kulingania kwacho.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-8.mp3
- Imechapishwa: 18/08/2020
Swali: Mwenye kuwasifu watu wa Bid´ah na kuwatakasa anaambiwa kuwa ni mtu wa Bid´ah?
Jibu: Ikiwa kweli ni watu wa Bid´ah… kwa sababu tatizo ni kuwa wanaita kila kitu kuwa ni Bid´ah. Vijana wenye hamasa na ghera kila kitu kwa mujibu wao ni Bid´ah. Bid´ah ina vidhibiti vyake na dalili katika Shari´ah. Hakuna anayehukumu kuwa kitu fulani ni Bid´ah isipokuwa wanachuoni.
Ikithibiti kuwa kitu hichi ni Bid´ah mtu ajiepushe nacho na ajiepushe na yule mwenye kukifanya au kulingania kwacho.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-8.mp3
Imechapishwa: 18/08/2020
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-mtu-ajiepushe-na-ahl-ul-bidah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)