Swali: Ni vipi hukumu ya mtu aliyelala akasikia adhaana lakini hana fahamu kamili?

Jibu: Ni lazima kwake kutubia kwa Allaah na achukue tahadhari. Aweke alamu na kadhalika kama vile kuwaambia familia yake wamuamshe au aweke alamu itayomsaidia kutekeleza yale aliyofaradhishiwa na Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23266/حكم-من-سمع-الاذان-ناىما-ثم-غلبه-النوم
  • Imechapishwa: 15/12/2023