Watoto wanaopita mbele ya mswaliji

Swali: Inatakiwa kwa mswaliji kuwazuia watoto wa kiume na watoto wa kike wanapopita mbele yake au ni jambo limewepesishwa?

Jibu: Awazuie ikiwa ni rahisi.

Swali: Isipokuwa rahisi?

Jibu: Hawamdhuru.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23268/حكم-مرور-الاطفال-الصغار-امام-المصلي
  • Imechapishwa: 15/12/2023