Hivi ndivo inavyotolewa zakaah ya bidhaa za biashara

Swali: Mtu anatakiwa kuzitolea bidhaa za biashara kwa bei ambayo alinunua au kwa thamani ya soko anayouza sasa?

Jibu: Kwa thamani ya sokoni wakati wa kuitoa baada ya kutimiza mwaka. Ni mamoja itakuwa ni zaidi au chini ya thamani yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23265/ما-كيفية-اخراج-زكاة-عروض-التجارة
  • Imechapishwa: 15/12/2023