Swali: Kuna ambaye anadai kuwa Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab anawatukana wanachuoni waliokuja baadaye na khaswa Ibn Hajar, an-Nawawiy na watu mfano wake. Je, haya yamesihi kutoka kwake?
Jibu: Mwambie akuletee matusi haya na tuyatazame. Ama kuzusha tu uongo na kusema fulani anasema kadhaa, hayakubaliki. Alete kile anachokisema.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (66) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-16.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kuna ambaye anadai kuwa Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab anawatukana wanachuoni waliokuja baadaye na khaswa Ibn Hajar, an-Nawawiy na watu mfano wake. Je, haya yamesihi kutoka kwake?
Jibu: Mwambie akuletee matusi haya na tuyatazame. Ama kuzusha tu uongo na kusema fulani anasema kadhaa, hayakubaliki. Alete kile anachokisema.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (66) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-16.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/ni-kweli-shaykh-ibn-abdil-wahhaab-anawatukana-wanachuoni/