Ni kweli Shaykh Ibn ´Abdil-Wahhaab anawatukana wanachuoni?

Swali: Kuna ambaye anadai kuwa Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab anawatukana wanachuoni waliokuja baadaye na khaswa Ibn Hajar, an-Nawawiy na watu mfano wake. Je, haya yamesihi kutoka kwake?

Jibu: Mwambie akuletee matusi haya na tuyatazame. Ama kuzusha tu uongo na kusema fulani anasema kadhaa, hayakubaliki. Alete kile anachokisema.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (66) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-16.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020