Ni ipi hukumu ya kufunika kaburi la mwanamke pindi anaposhushwa ndani ya kaburi?

Swali: Ni ipi hukumu ya kufunika kaburi la mwanamke pindi anaposhushwa ndani ya kaburi?

Jibu: Baadhi ya wanachuoni wamesema kuwa kaburi la mwanamke linatakiwa kufunikwa pindi anaposhushwa ndani ya kaburi ili yasionekane maumbile yake. Lakini hata hivyo hili sio wajibu. Anatakiwa kufunikwa mpaka pale kokoto zitapotiwa juu yake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/173)
  • Imechapishwa: 25/08/2021