Swali: Ni haramu kusikiliza nyimbo?
Jibu: Ndio. Nyimbo na muziki ni miongoni mwa maovu mabaya na ni miongoni mwa njia zinazopelekea katika shirki.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 171
- Imechapishwa: 16/02/2023