Swali: Vipi kuhusu kujengea hoja ya mashairi katika Khutbah?

Jibu: Hakuna neno ikiwa mashairi hayo yanakubaliwa kwa mujibu wa Shari´ah na yamesalimika hakuna ndani yake kitu:

“Hakika katika mashairi kuna hekima.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 166
  • Imechapishwa: 16/02/2023