Swali: Je, inatosheleza kufuta najisi iliyoanguka kwenye mazulia na makapeti kwa kutumia sifongo mara tatu au muislamu afanye nini katika hali hiyo?
Jibu: Haitoshelezi kufuta najisi iliyoanguka kwenye mazulia na makapeti yaliyotajwa. Bali ni lazima amwage maji juu ya sehemu iliyopatwa na najisi mpaka maji yaifunike na kuondoa athari ya najisi hiyo, kama mkojo na mfano wake. Ikiwa najisi hiyo ina mabaki yanayoonekana, basi ni lazima yaondolewe.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/365)
- Imechapishwa: 26/11/2026
Swali: Je, inatosheleza kufuta najisi iliyoanguka kwenye mazulia na makapeti kwa kutumia sifongo mara tatu au muislamu afanye nini katika hali hiyo?
Jibu: Haitoshelezi kufuta najisi iliyoanguka kwenye mazulia na makapeti yaliyotajwa. Bali ni lazima amwage maji juu ya sehemu iliyopatwa na najisi mpaka maji yaifunike na kuondoa athari ya najisi hiyo, kama mkojo na mfano wake. Ikiwa najisi hiyo ina mabaki yanayoonekana, basi ni lazima yaondolewe.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/365)
Imechapishwa: 26/11/2026
https://firqatunnajia.com/namna-ya-kuondosha-najisi-kwenye-mazulia-na-makapeti/