Swali: Ikiwa mtu atakojoa au atajisaidia, kisha akajisafisha kwa kutumia mawe, halafu akatokwa na jasho, je, jasho hilo linazifanya nguo zake kuwa najisi?
Jibu: Katika kutumia mawe ni lazima kuhakikisha kwamba sehemu hiyo imesafika. Ikiwa sehemu ya mkojo au kinyesi imesafishwa kikamilifu, basi jasho linalotoka kwenye sehemu hiyo halizifanyi nguo zilizoguswa na jasho hilo kuwa najisi, kwa sababu baada ya sehemu hiyo kusafishwa kikamilifu, basi inahukumiwa kuwa ni twahara.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/367)
- Imechapishwa: 26/11/2026
Swali: Ikiwa mtu atakojoa au atajisaidia, kisha akajisafisha kwa kutumia mawe, halafu akatokwa na jasho, je, jasho hilo linazifanya nguo zake kuwa najisi?
Jibu: Katika kutumia mawe ni lazima kuhakikisha kwamba sehemu hiyo imesafika. Ikiwa sehemu ya mkojo au kinyesi imesafishwa kikamilifu, basi jasho linalotoka kwenye sehemu hiyo halizifanyi nguo zilizoguswa na jasho hilo kuwa najisi, kwa sababu baada ya sehemu hiyo kusafishwa kikamilifu, basi inahukumiwa kuwa ni twahara.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/367)
Imechapishwa: 26/11/2026
https://firqatunnajia.com/kijasho-kinachomtoka-mtu-baada-ya-kujisafisha-kwa-mawe/