Swali: Ni ipi hukumu ya bima kamilifu ya gari?

Jibu: Bima haijuzu. Bima ni haramu na ni kula mali za watu kwa dhuluma. Unaweza ukalipa gharama ndogo, ukafikwa na ajali na kupata pesa nyingi kutoka katika mali za watu. Haijuzu kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 14/07/2018